Suprize liyasema haya kwa DOGO JANJARO :-
Kwenye maisha ya muziki Msanii akitoka asahau alipotoka kwan wengi wanadhani ukitoka kimuziki ndo umefika uendako,,,hatujafika wote kwani kutangulia sio kufika pia nyumbani ni nyumbani tuu hata pakiwa ni bafuni ninyumbani watu wanapasahau nyumbani ndo alichosema Suprize baby MWANAMUZIKI anayeitambulisha ARUSHA vyema,,,,, kwa karnr hii..
Kweli nimeamini wengi hawakumbuki walipotoka wakishatoka kwani ni ujinga na upumbavu nanizezeta MTU kusahau alipotoka ,,,,alifunguka Suprize baby,,,,,
Kilicho nifanya niseme haya ni kuona ujinga wa DOGO JANJARO kuidharau ARUSHA na kwenye nyimbo zake anajifanya anaisifia kinafki akisema ngarenaro ili aongeze wa kumsifia kumbe anang'ata na kupuliza tuu ,,,,,,nasema haya kwasababu nimeyaona na yamenikera sana nikijiuliza ndio maana ARUSHA Vipaji havionekani wanaonekana Dar-es-sallam tuu ,,,,
Nilisikiliza interview ya DOGO JANJARO ilinifanya nikasirike kumsikia anasema heti ARUSHA Msanii hauwezi kutoka kimuziki kwani hamna ramani yeyote ,,,hili liliniumiza tena DOGO JANJARO kusema ARUSHA niyawahuni tuu hamna muziki,,,,,,Hizo niimani potofu tuu ambazo zinasemwaga na wajinga .
Napenda kumuonya DOGO JANJARO asirudie kusema hivyo kwani anaua Vipaji vilivyopo ARUSHA havionekani na ARUSHA inavipaji kwa utafiti ukioganywa ndo ikipewa fursa itaongoza na kuwa ya kwanza kuitambulisha Tanzania ,
DOGO JANJARO amekulia ARUSHA, amelelewa ARUSHA, amekunyia ARUSHA,,, Leo anaikashifu ARUSHA. Akati alilokotewa ARUSHA,,, na tiptop,,,,,,,,Dar- ni makanyagio tuu kapeleka akakanyaga so asiwe mwehu wa kukana ardhi yake na asipoangalia ataikumbuka ardhi take,,,,,ALIYASEMA HAYO SUPRIZE BABY,,,,,
Kwaiyo DOGO JANJARO uwe makini na Suprize amesema ukiona kakukera mtafute:_
Instagram@Nicholaus Tanzania pop
Facebook @Nicholaus Tanzania pop
WhatsApp inbox@ +255766496128(Suprize Official)
DOGO JANJARO chunga nauli,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni