JE NI KWELI MR LUCKY ANAROGA!!
Mwandaaji wa Muziki Tanzania anayefahamika kwa jina la Mr Lucky amesema na waandishi anajivunia kufanya kazi na wasanii wakubwa wa muziki wa Injili kwani Ameshafanya kazi na Msanii mkubwa wa Injili anayrfahamika kwa jina la Rose Muhando na mwingine anayefahamika kwa jina la Florambasha na wengine wengi wnaofahamika hapa Tanzania na nje ya Tanzania kama;-William,Olivawema,Medrik Sanga na wengine wengi ila mpaka sasa anawaza mbona afikii Yale malengo anayoyahitaji aliyasema hayo Mr Lucky na waandishi wa habari,,,,
kitu Mr Lucky alichofurahi ni kuona wasanii wengine wakubwa wanamfuata na kutaka awafanyie kazi anasema ni Uaminifu gani wameona kwake na kazi zake zipoje je ni nzuri sana hili ni swali sio jibu alisema Mr Lucky
SASA NA BONY MWAITEGE KAJA ???
Mr Lucky anasema anayofuraha sana kuona wasanii wakubwa wanamwamini na alisema kwa kuwa wanamuamini sasa hivi kilichobaki ni kuwafurahisha hao wasanii wasirudi walipotoka,,,,kweli Sio naroga ni mungu ananipigania "aliyasema hayo Mr Lucky" na alimalizia kwa kusema Audio ya bony mwaitege ipo karibu kutoka na anaomba mungu hadi yule wasanii wengine watakuja kwa kumtegemea mungu ,Kweli amakweli Linda heshima ukiheshimiwa ,,,,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni