HARMONIZE KUKUBALI BASATA KUIPTISHA NYIMBO YA SUPRIZE NUMBER ONE
Alisema Msanii wa bongo flave anayefanya kazi na kikundi kinachoitambulisha Tanzania vyema (WCB)WASAFI CLASSC BABY,, Alizungumza machache na Muziki life na vyombo vya habar kuwa Nyimbo ya SUPRIZE_Number one haiwekei kikwazo chochote kwani ni Msanii anayejua kutumia ujuzi vizur na ulisema pia hata yeye alifanya kama Suprize anavyofanya hapa sasa hivi na ndo njia iliyomfanya mpaka diamond platnumz alimjua ,,.
Harmonize ulisema BASATA isiizuie kazi ya Suprize kwani nyimbo haijaharibu maadili ya Tanzania ulisema ikiwezekana BASATA imchukue Suprize maana anajua sana Wenda akaitambulisha Tanzania zaidi yake .
Harmonize ni Msanii mwenye mafanikio sasa na alimalizia kwa kusema nanukuu"Siwezi vunja dalaja nikiwa nimevuka mto niwaache na wengine wapite wanifate nilipo kumbuka kunakifo Leo sipo labda Suprize akawa mrithi wangu ""
Hayo ndiyo machache harmonize aliyoyaongea na MUZIKILIFE PROMOTE,,,,,,,,,.......
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni