Alhamisi, 17 Agosti 2017

MATUSI YA SUPRIZE KWA DOGO JANJARO

     MATUSI YA SUPRIZE KWA DOGO JANJARO YAZUA TATIZO KUBWA ARUSHA MJINI
Suprize liyasema haya kwa DOGO JANJARO :-
Kwenye maisha ya muziki Msanii akitoka asahau alipotoka kwan wengi wanadhani ukitoka kimuziki ndo umefika uendako,,,hatujafika wote kwani kutangulia sio kufika pia nyumbani ni nyumbani tuu hata pakiwa ni bafuni ninyumbani watu wanapasahau nyumbani ndo alichosema Suprize baby MWANAMUZIKI anayeitambulisha ARUSHA vyema,,,,, kwa karnr hii..
Kweli nimeamini wengi hawakumbuki walipotoka wakishatoka kwani ni ujinga na upumbavu nanizezeta MTU kusahau alipotoka ,,,,alifunguka Suprize baby,,,,,

Kilicho nifanya niseme haya ni kuona ujinga wa DOGO JANJARO kuidharau ARUSHA na kwenye nyimbo zake anajifanya anaisifia kinafki akisema ngarenaro ili aongeze wa kumsifia kumbe anang'ata na kupuliza  tuu ,,,,,,nasema haya kwasababu nimeyaona na yamenikera sana nikijiuliza ndio maana ARUSHA Vipaji havionekani wanaonekana Dar-es-sallam tuu ,,,,
Nilisikiliza interview ya DOGO JANJARO ilinifanya nikasirike kumsikia anasema heti ARUSHA Msanii hauwezi kutoka kimuziki kwani hamna  ramani yeyote ,,,hili liliniumiza tena DOGO JANJARO kusema ARUSHA niyawahuni tuu hamna muziki,,,,,,Hizo niimani potofu tuu ambazo zinasemwaga na wajinga .
Napenda kumuonya DOGO JANJARO asirudie kusema hivyo kwani anaua Vipaji vilivyopo ARUSHA havionekani na ARUSHA inavipaji kwa utafiti ukioganywa ndo ikipewa fursa itaongoza na kuwa ya kwanza kuitambulisha Tanzania ,
DOGO JANJARO amekulia ARUSHA, amelelewa ARUSHA, amekunyia ARUSHA,,, Leo anaikashifu ARUSHA. Akati alilokotewa ARUSHA,,, na tiptop,,,,,,,,Dar- ni makanyagio tuu kapeleka akakanyaga so asiwe mwehu wa kukana ardhi yake na asipoangalia ataikumbuka ardhi take,,,,,ALIYASEMA HAYO SUPRIZE BABY,,,,,
Kwaiyo DOGO JANJARO uwe makini na Suprize amesema ukiona kakukera mtafute:_
Instagram@Nicholaus Tanzania pop
Facebook @Nicholaus Tanzania pop
WhatsApp inbox@ +255766496128(Suprize Official)
DOGO JANJARO chunga nauli,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,


Jumapili, 13 Agosti 2017

Suprize baby_Maisha yanapita new Audio 2017

Supruze baby_Maisha YANAPITA new Audio

Katika Audio hii Suprize anazungumzia juu ya maisha yake changamoto alizopitia na mateso na karaha zote za duniani amakwel maisha YANAPITA hii ni ujumbe tosha juu ya wale wanaokata tamaaa kabla ya kufika mwisho ,,,,Sikiliza hii kwel ukiwa na matatizo hakuna atakae kuwa karibu yako marafiki watakucheka na MTU ambaye unampenda kwa dhati atakuacha ,,,,,,nisimalize uondo sikiliza hii ni Suprize baby_MAISHA YANAPITA new Audio 2017

Jumatatu, 7 Agosti 2017

SIRI YA MAFANIKIO YA MR LUÇKY RAHISI WA WAANDAAJI WA MUZIKI Tanzania

JE NI KWELI  MR LUCKY ANAROGA!!

Mwandaaji wa Muziki Tanzania anayefahamika kwa jina la  Mr Lucky amesema na waandishi anajivunia kufanya kazi na wasanii wakubwa wa muziki wa Injili kwani Ameshafanya kazi na Msanii mkubwa wa Injili anayrfahamika kwa jina la Rose Muhando na mwingine anayefahamika kwa jina la Florambasha na wengine wengi wnaofahamika hapa Tanzania na nje ya Tanzania kama;-William,Olivawema,Medrik Sanga na wengine wengi ila mpaka sasa anawaza mbona afikii Yale malengo anayoyahitaji aliyasema hayo Mr Lucky na waandishi wa habari,,,,
kitu Mr Lucky alichofurahi ni kuona wasanii wengine wakubwa wanamfuata na kutaka awafanyie kazi anasema ni Uaminifu gani wameona kwake na kazi zake zipoje je ni nzuri sana hili ni swali sio jibu alisema Mr Lucky

SASA NA BONY MWAITEGE KAJA ???
Mr Lucky anasema anayofuraha sana kuona wasanii wakubwa wanamwamini na alisema kwa kuwa wanamuamini sasa hivi kilichobaki ni kuwafurahisha hao wasanii wasirudi walipotoka,,,,kweli Sio naroga ni mungu ananipigania "aliyasema hayo Mr Lucky" na alimalizia kwa kusema Audio ya bony mwaitege ipo karibu kutoka na anaomba mungu hadi yule wasanii wengine watakuja kwa kumtegemea mungu ,Kweli amakweli Linda heshima ukiheshimiwa ,,,,

MUZIKI LIFI PROMOT

Tangaza kazi yako na hii blog yetu ya MUZIKI LIFE PROMOT utafahamika ndani na nje ya nchi na pia itakusaidia kupata Menegment kwa urahisi pia itakuongezea mashabiki kwa kila siku  na itakufanya ufahamike kwa urahisi na kazi zako kusambaa kwa muda mfupi KARIBUNI sana kwa blog ya MUZIKI LIFE PROMOT ,,,,,,asante ,.Na Upcoming Artist itawasaidia kujitangaza kwa urahisi KARIBUNI sana .