Jumamosi, 7 Oktoba 2017

HIVI KARIBUNI SUPRIZE KUIACHIA NYIMBO MPYA

SUPRIZE KUWEKA WAZI JUU YA NYIMBO YAKE MPYA ATAKAYOIACHIA HIVI KARIBUNI
Msanii wa muziki wa pop Tanzania anayefahamika kwa jina la Suprize anayefanya muziki kulingana na hali ya maisha aliyokuwanayo aweka bayana na MUZIKILIFE PROMOT Leo akisema anauhakika wa kufanya kazi nzuri kila Mara ila  Ajapata MTU wa kumsimamia katika kazi zake.
Suprize akisema na MUZIKI life promoted alozingumza juu ya Suala LA kuachia kazi yake mpya hivi karibuni na anaamini mashabiki wataipokea kwa mikono miwili watafurahia kazi aliyo ifanya ,,,
Suprize alimzungumzia producer wake anayefanyaga kazi zake anayefahamika kwa jina la producer g ndani ya Studio za LUCKY RECORDS ni producer anayefanya kazi nzuri kila Mara na ni producer anayejua sana muziki na ndiye aliyeifanya kazi mpya ya Suprize atakayoiachia  karbuni,,
Ni machache Suprize aliyotuachia msanii anayefanya vizur sana,,,,

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni