MZEE WA MASEBENE AFURAHIA USIKU WA KIMVULI ARUSHA AKIWA NA SUPRIZE
Msanii wa muziki Tanzania anayefahamika kwa jina la Y-Tony amefurahia kujumuika na watu wa Arusha usiku wa tarehe15 September 2017 ,,na kuenjoi pole Galaxy club jijini Arusha .
Y-TONY KUFURAHI KUMJUA SUPRIZE
Kama ujuavyo fupi tamu ndefu inakera aliyasema Y-Tony baada ya kumfahamu Msanii kufika ARUSHA anayefahamika kama SUPRIZE anayefanya vizur sana ,,
Muzikilife walipoongea na Y-Tony ulisema kwa mara ya kwanza kufika Arusha lakini Suprize ni Msanii aliyejaliwa hekina sana na ubinadamu "Kweli Arusha Inawasanii Watizameni basi kwani nimejifunza mengi na machache kwa msanii Suprize,mbali Suprize nimeupenda uandishi wake na Studio nayo ni nzuri nilimshauri nimuunganishe kwa ZEST BEAT Alikataa akidai hawezi kukuacha producer G nilishangaa sana ila Suprize mtizameni tuu siku moja akijukikana kidogo atalimiliki Solo la muziki ,,,,na itakuwa ni Mara ya kwanza Soko LA Muziki kumilukiwa ARUSHA ,,,
KUANDAA NYIMBO Y-TONY NA MSANII UPCOMING SUPRIZE
Kweli Usieamini wewe ni nani,Aliyapayuka mwenyewe bingwa wa masebene " Kweli nimevutiwa na utunzi wa kijana mdogo Wang SUPRIZE kwa hiyo ni lazima tufanye kitu niwajukishe watu kuwa kunao wanaoweza ila hawajapewa fursa,pia Sauti ya Dogo SUPRIZE ni ya mauzo kabisa yupo sokoni kifuatacho ni kumsaport tuu mdogo wetu na yeye ajivunie kipaji chake kama tujivuniavyo Leo .Ninayo mengi ya kusema kuhusu Msanii SUPRIZE ila nitayazungumza siku ingine ila wasihini watu wasaport Upcoming kama SUPRIZE,,,,, "
Hayo ndio machache Aliyoyazungumza ule usiku wa kivuli na muziki life kuhusu Msanii Aliyempokea na kumkabidhi jukwaa la Arusha .Hii sikuwahi kuona wala sikupewa sifa kama alizopewa upcoming artists (msanii chipukizi) SUPRIZE,,,,
Ukitaka kumjua zaidi huyu msanii aliyekuwa na nyota ya kusifiwa fuatilia mkala ya MUZIKILIFE,,,Asante sana,,,,,